Mhe. Waziri wa Ardhi Prof Anna Tibaijuka atembelewa na waziri kutoka Norway

Mhe. Waziri wa Ardhi Prof Anna Tibaijuka atembelewa na waziri kutoka Norway

Mhe. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof Anna Tibaijuka he. Waziri wa Ardhialitembelewa na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka nchini Norway Bw. Heikki Holmas

Waziri wa Ardhi Mhe. Anna Tibaijuka afanya ziara katika Manispaa ya Kinondoni

Waziri wa Ardhi Mhe. Anna Tibaijuka afanya ziara katika Manispaa ya Kinondoni

Ziara ya Mhe. Waziri wa Ardhi Prof. Anna Tibaijuka katika manispaa ya Kinondoni kukagua uendelezaji miji ikiwemo ujenzi kwenye fukwe za bahari, ujenzi ulioziba barabara na kumbi za starehe katika makazi.

Mgeni Rasmi katika mahafali ya 16 chuo cha Ardhi Morogoro Mhe. Prof Anna Tibaijuka

Mgeni Rasmi katika mahafali ya 16 chuo cha Ardhi Morogoro Mhe. Prof Anna Tibaijuka

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof. Anna Tibaijuka (kushoto) akielekea Jukwaa kuu wakati wa Sherehe za mahafali ya 16 ya Chuo cha Ardhi Morogoro. Anayefuatia nyuma ya Mhe. Tibaijuka ni Mkuu wa Mkoa huo Bw. Joel Bendera.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ahudhuria mahafali chuo cha Ardhi Morogoro

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ahudhuria mahafali chuo cha Ardhi Morogoro

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof. Anna Tibaijuka (kushoto) akipata maelezo ya namna ya kutumia kifaa cha upimaji kutoka kwa mmoja wa wahitimu katika Chuo cha Ardhi Morogoro. Mhe. Tibaijuka alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo ya 16, yaliyofanyika mkoani Morogoro Machi mwaka huu. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa huo Bw. Joel Bendera.

Waziri wa Ardhi Mhe. Anna Tibaijuka akibadilishana mawazo na Balozi wa Marekani Mhe. Alfonso Lenherts

Waziri wa Ardhi Mhe. Anna Tibaijuka akibadilishana mawazo na Balozi wa Marekani Mhe. Alfonso Lenherts

Submission on the Continental Shelf beyond 200 Nautical Miles to the CLCS

Submission on the Continental Shelf beyond 200 Nautical Miles to the CLCS

On 18 January 2012, the United Republic of Tanzania submitted to the Commission on the Limits of the Continental Shelf...

Wizara yawasilisha andiko

Wizara yawasilisha andiko

Wizara yawasilisha andiko

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Hotuba ya mgeni rasmi Mhe. Goodluck ole – Medeye (mb) Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenye ufungaji wa mkutano wa sekta ya ardhi ukumbi wa Blue Pearl, Ubungo Plaza Dar es salaam tarehe 29 septemba, 2011
 
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Hotuba ya mgeni rasmi, Mhe. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka (mb) Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenye ufunguzi wa mkutano wa sekta ya ardhi ukumbi wa Blue Pearl, Ubungo Plaza Dar es salaam tarehe 26 septemba, 2011
 
MAADHIMISHA YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA YA WIZARA YA ARDHI

MAADHIMISHA YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA YA WIZARA YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mhe. Prof. Anna Tibaijuka (MB) akiwa na watumishi wa Wizara ya Ardhi katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara viwanja vya Mnazimmoja

News & Announcements

Land is an economic good of an increasing value. It plays a great role in the process of poverty reduction through wealth creation and hence uplifting the wellbeing of the people. The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development has been mandated to administer land and human settlement in Tanzania. It therefore provides various land related services to individuals and institutions in the country.